Houses For Sale In Tanzania in 2022

Full Furnished Houses For Sale In Tanzania – Arusha

Arusha, Northern Zone, Tanzania

Bedrooms 12
Bathrooms 16

Property Description

Located in a region so rich in hospitality and tourism attractions at Arusha, Tanzania within a favourable neighbourhood. A distance of 200 Meters from Nelson Mandela Rd/Old Moshi Rd. The whole Area is wall Fenced. 2 buildings in a single compound. Large parking space. Beautiful and well-maintained garden. Security Surveillance Camera, Suitable for Hotel, Lodge, Hostel, Corporate office/Building e. t. c due to its Flexibility.

House For Sale In Arusha

Kiwanja chenye pagale la ghorofa moja kinauzwa,Ununio,Tegeta,Dar es salaam

Bedrooms 5
Bathrooms 4
Area 2388

Property Description
Kiwanja kipo km 1 kutoka barabara ya lami ya Ununio, Barabara zinazoingia mtaani kuingia katika kiwanja ni nzur, zinapitika hata kipindi cha mvua(nyakati zote). Kiwanja ni matumizi ya makazi ( Residential). Kiwanja kina pagale la ghorofa moja lenye vyumba vitano; ambapo viwili sio masterbedrooms na vitatu ni masterbedrooms
Kiwanja kina uwanja mkubwa wenye nafasi ya kutosha ya kupaki na kufanya shughuli tofautitofauti, Kiwanja hakina mgogoro wowote ule na kuna hati safi. Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja

Property Features
2 Stories
26′ Ceilings
Bike Path
Dual Sinks
Jog Path
Lawn
Next to busy way

Nyumba ya kibiashara vyumba 10 Inauzwa Ambureni, Arumeru – ARUSHA

Arumeru, Arusha, Northern Zone, Tanzania

Bedrooms 10
Property Description
Nyumba ipo mtaa wa AMBURENI, wilaya ya ARUMERU. Umbali wa mita 960 kutoka barabara ya Moshi – Arusha (Meretu Bus Stop) Ni nyumba ya kibiashara yenye Vyumba 10. Ipo kwenye hatua ya Urasimishaji, Maji na Umeme vinapatikana.

Nyumba inauzwa, Mabwepande, Bunju B, Dar es salaam

Mabwepande, Bunju B, Bagamoyo Road, Dar es Salaam

Bedrooms 3
Bathrooms 3
Area 600

Property Description
Nyumba ipo mita 700 kutoka barabara ya lami ya Bagamoyo, Bunju B, Barabara za mtaa zinapitika vizuri, Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 600 na Nyaraka zote za umiliki zipo. Kuna parking ya kutosha magari mawili. Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja ni masterbedroom, Kuna sebule kubwa,dinning area,jiko,Choo na bafu la um,choo na bafu la nje. Kuna gardening ya kisasa nzuri, Nyumba imejengwa kisasa sana na bado ni mpya. Umeme na maji yapo. Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja

Property Features
26′ Ceilings
Bike Path
Dual Sinks
Jog Path
Lawn
Next to busy way

MALIMBE HOSTEL / APARTMENT PLOT SIZE: 34 *20 METERS

Nyegezi Malimbe

Bedrooms 2
Bathrooms 2

Property Description

Site is located about 600 meters from Saint Augustine University (SAUT) Mwanza main campus, hot perfect location for hostel and apartment buildings for students and teachers. The area is surrounded by hostels with rooms rented from minimum of TSH 800,000 to TSH 1,800,000 per room per year.

The building is an apartment with very big sitting room which has a potential to be divided into two self contained rooms, building has one public toilet, one master bedroom, one single room and beautiful kitchen with store room.

On the plot there is readily built foundation capable of accommodating five (5) more self contained rooms for students to rent, making the plot capable of providing 10 self contained rooms, water and electricity services are near.

SELLING PRICE TSH 130,000,000/= (TSH 130 MILLION) or $ 55,000/= ($ FIFTY FIVE THOUSANDS)
FOR PRICE NEGOTIATIONS AND SITE VISIT KINDLY CALL +255 752 604160 or whatsup +255 752 604160, email: [email protected]

Nyumba inauzwa Boko magengeni,Dar es salaam

Boko magengeni, Dar es Salaam

Bedrooms 3
Bathrooms 2
Area 800

Property Description

Nyumba ipo km 1 kutoka barabara ya Bagamoyo,Boko Magengeni, Barabara ya kuingia ipo vizuri na ityajengwa kiwango cha lami hivi karibuni. Nyaraka zote za msingi za umiliki zipo,kiwanja kimepimwa kwa urasimishaji. Kiwanja cha nyumba ni sqm 800.
Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja masterbedroom,jiko,sebule,choo na bafu la uma, Kiwanja ni kikubwa kwa ajili ya parking ya magari hata sita. Maji na umeme vinapatikana na Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja

Property Features

Bike Path
Dual Sinks
Jog Path
Lawn
Marble Floors

Nyumba ya ghorofa inauzwa bahari beach,Dar es salaam

Bahari beach, Dar es Salaam

Bedrooms 5
Bathrooms 5
Area 800

Property Description
Nyumba ni ya ghorofa moja yenye vyumba 5 ambapo viwili ni masterbedroom na vitatu ni single bedrooms. Nyumba ina Jiko la kisasa,sebule kubwa,choo na bafu la umma,stoo na servant quarters kwa nje. Nje kuna parking ya kutosha kabisa ya kupaki magari matatu na zaidi, Nyumba ina landscaping nzuri kabisa na gardening nzuri. umeme na maji vinapatikana, Nyumba iko maeneo tulivu kabisa. Barabara ya mtaa ya kufikia nyumba ziko vizuri. Nyumba ina hati safi isiyo na migogoro pia Kuna maongezi katika bei ya kiwanja

Property Features
2 Stories
26′ Ceilings
Bike Path
Dual Sinks
Electric Range
Jog Path
Lawn
Marble Floors

Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Bunju B Dege Maji Dar es salaam

Dege maji,Bunju B, Bagamoyo Road, Dar es Salaam,

Bedrooms 3
Bathrooms 2
Area 2000

Property Description

Kiwanja kina ukubwa wa sqm 2000, kiwanja kipo 1 km kutoka barabara ya lami ya Bagamoyo eneno linaloitwa Dege maji. Ndani ya kiwanja kuna nyumba kubwa ya kisasa yenye vyumba 3 kimoja masterbedroom,choo na bafu uma,jiko,sebule na dinning room, Pia kuna banda la kufugia mifugo la vyumba viwili. Kuna maongezi katika bei ya kiwanja

Property Features
26′ Ceilings
Bike Path
Dual Sinks
Jog Path
Lawn
Marble Floors
Next to busy way

Join The Discussion

Compare listings

Compare