Apartment ya kisasa inapangishwa
Location:- Mbezi beach jogoo
Price:- Tsh 900,000 (laki tisa) kwa mwezi
Kodi ya miezi 6
Sifa zake:-
1.Ina vyumba vitatu vya kulala
2.Chumba kimoja ni self contained
3.Public toilet and bathroom
4.Sitting room with Dinning
5.Jiko lenye Makabati
6.Full Ac
7.Tiles, Gypsum, Slide Windows
8.Maji ya bombs 24 hours
9.Private Luku
10.Cars parking Space ipo nje
11.Garden
12.Fenced Apart