-Eneo hili lipo Tegeta dawasco karibu na Sheli ya GBP Tegeta
-katika hili eneo kuna Majengo tofautitofauti ya makazi na mengine ya biashara
– Eneo hili liko karibu sana na barabara
-Eneo hili linafaa sana kwa uwekezaji mkubwa wa biashara kubwa kwa mfano sheli ya mafuta
-Nyaraka zote muhimu za umiliki zipo
-Kuna maongezi katika bei ya kiwanja