SHULE YA MSINGI NA AWALI INAUZWA NA KUPANGISHWA
IPO KIBAMBA SHULE DAR ES SALAAM TANZANIA
UKUBWA ENEO NI EKARI 2
INA MADARASA 7 YALIYOKAMILIKA,VYOO VYA WALIMU, VYOO VYA WANAFUNZI WA KE NA ME, OFISI YA WALIMU, OFISI YA MWALIMU MKUU, STORE NK
BEI YA KUUZA NI TZS BILLION 1 NA KUPANGA NI MILLION 5,000,000KWA MWEZI
KARIBUNI
GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE NI 50,000
Compare listings
Compare