ENEO LA ZIWANI/ BEACH PLOT FARM.

Overview

Description

Eneo la ziwani linauzwa,  lipo nasa ginnery busega simiyu, umbali wa kilometa 95 kutoka Mwanza mjini, umbali wa kilometa 2.5 kutoka barabara ya rami ya kwenda Musoma, umbali wa kilometa 1 kutoka ofisi za wilaya ya Busega.

Eneo lina ukubwa wa zaidi ya heka zaidi ya 10, kuna mabwawa ya samaki 6 yenye ukubwa wa 15 meters * 30 meter, lina aridhi nzuri ya kulima mazao yote. kujenga beach au hotel au camp ya watalii.

Pia eneo lipo mita 500 kutoka mwalo mkubwa wa boti za uvuvi wilayani Busega.

KWA MAZUNGUMZO YA BEI NA KUTEMBELEA ENEO WASILIANA NAMI KWA SIMU # +255 752 604160 au WHATSUP +255 752 604160, email: [email protected]

Address

Contact Information

View Listings
Ben
  • Ben

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Ben
  • Ben