Nyumba ya Kisasa yenye Eneo kubwa inauzwa, Kijichi, Dar es salaam

Nyumba ya Kisasa yenye Eneo kubwa inauzwa, Kijichi, Dar es salaam

Overview

Description

-Nyumba ipo Km 3 kutoka kijichi center na Km 1 kutoka Kanisa katoliki parokia ya Kijichi, Karibu pia na Lavidavi Pub na kitchen

-Kiwanja kina majengo matatu tofauti tofauti ikiwemo na nyumba yenyewe 

-Kiwanja ni kikubwa na kina parking ya kutosha ya magari hata matano

-Kiwanja (viwili katika sehemu moja) kimoja kimejengeka kwa makazi,kingine kwa matumizi ya ufugaji na kilimo kidogo

-Main building ina vyumba vinne, masterbedroom 2,sitting room 2,dinning room,jiko,stoo,Ofisi  ya nyumbani, choo na bafu la uma

-Outside building in vyumba vinne,vyoo na bafu 2 vya umma

-mabanda ya kufuga kuku

-Nje pia kuna gardening nzuri sana yenye sehemu mbili nzuri za kupumzikia nje(sheds)

-Kuna SIM tanks 3 zenye litre 5000 kila moja

-Maji ya dawasco hamna yapo ya kisima na ni mazuri

-umeme upo pia

-Nyumba ipo eneo tulivu sana

-Kuna maelewano katika bei ya kuuza

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike