Apartment for Rent
Location:- Goba Kwa Awadh
Zipo mbili kwenye compound na zote zinapangishwa
Apartment
Sifa zake
Apartment moja ina vyumba viwili vya kulala Kimoja ni master
Sitting room
Kitchen
Public toilet and bathroom
Private luku
Dawasco water supply
Parking space
Paving block
Fenced
Price:- 600,000 (Laki sita( kwa mwezi
Malipo ya miezi 6
Apartment ya Pili ina one bedroom which is a self contained
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Luku yako
Dawasco water supply
Parking space
Fenced
Paving block
Price:- Laki nne Kwa Mwezi
Malipo ya miezi 6