–Kiwanja hiki kipo km 1 kutoka Tegeta Nyuki,Block D,
-Kiwanja kipo karibu na Feza Boys Secondary & highschool and Pwani primary school
-Ndani ya kiwanja kuna Pagale la ghorofa moja lenye vyumba 5, masterbedroom 4 na single 1, 2 Lounge,dinning room,kitchen ,public bathroom na gereji ya kupaki gari 2
-Ndani ya Kiwanja pia kuna nyumba ndogo yenye vyumba 2,Kimoja masta na kingine single.Pia kuna sitting room na dinning room & public toilet & bathroom
-Kiwanja kinafaa kwa makazi na biashara
-Kuna maongezi katika bei ya kiwanja