Kiwanja chenye pagale la ghorofa moja kinauzwa Tegeta ,Dar es salaam

Kiwanja chenye pagale la ghorofa moja kinauzwa Tegeta ,Dar es salaam

Overview

Description

-Kiwanja kipo mita 800 kutoka barabara ya Lami ya bagamoyo,Tegeta Namanga

-Kiwanja kipo pia mita 600 kutoka katika Hospitali ya Rabininsia Namanga

-Kimezungushiwa ukuta wa tofali.Kuna pagale la ghorofa moja lenye vyumba vitano, vitatu vikiwa ni masterbedrooms.Kuna Lounge mbili,Jiko,stoo,mabafu ya uma na vyoo vya uma

-Umeme na maji vinapatikana

-Barabara za mtaa kuingia katika kiwanja zinapitika vyema

-Katika kiwanja kuna shughuli za kilimo kidogo

-Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike