-Nyumba ipo km 1 kutoka barabara ya Bagamoyo,Boko Magengeni
-Barabara ya kuingia ipo vizuri na ityajengwa kiwango cha lami hivi karibuni
-Nyaraka zote za msingi za umiliki zipo,kiwanja kimepimwa kwa urasimishaji
-Kiwanja cha nyumba ni sqm 800
-Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja masterbedroom,jiko,sebule,choo na bafu la uma
-Kiwanja ni kikubwa kwa ajili ya parking ya magari hata sita
-Maji na umeme vinapatikana
-Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja