-Kiwanja kipo Msasani Peninsula Karibu na Premier care Clinic
-Kiwanja kipo eneo tulivu na lililojengeka
-Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki safi kabisa
-Kiwanja hakina mgogoro wowote
-Maji na umeme vinapatikana
-Kinafaa kwa ajili ya Biashara na makazi
-Kipo mita 300 kutoka bahari ya Hindi
-Bei ni USD 700,000 na maongezi yapo