-Nyumba ipo mita 700 kutoka barabara ya lami ya bagamoyo,Bunju B
-Barabara za mtaa zinapitika vizuri
-Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 600
-Nyaraka zote za umiliki zipo
-Kuna parking ya kutosha magari mawili
-Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja ni masterbedroom
-Kuna sebule kubwa,dinning area,jiko,Choo na bafu la um,choo na bafu la nje
-Kuna gardening ya kisasa nzuri
-Nyumba imejengwa kisasa sana na bado ni mpya
-Umeme na maji yapo
-Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja