Viwanja Vinauzwa mtaa wa Chahombo Bunju A Dar es salaam

Overview

Description

-Viwanja vipo km 1 kutoka Barabara ya lami ya Bagamoyo karibu na shule ya sekondari ya Destiny 

-Viwanja vyote vimepimwa na vina nyaraka zote muhimu za umiliki

-Viwanja vina ukubwa tofauti tofauti kuanzia SQM 600 hadi SQM 1600

-Bei inaanzia Tsh Mil. 25 hadi Mil 50 kulingana na ukubwa wa Kiwanja

-Kuna maongezinkidog0 katika Bei za viwanja

-Matumizi yake ni makazi pekee

-Huduma zote za msingi zinapatikana na zipo karibu mfano maji,umeme na barabara

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike