BEACH PLOTS
-Viwanja hivi vipo Kigamboni-Pembamnazi
-Ni viwanja vizuri, vipo kwenye tambalale
Umbali ni 50km toka Ferry na 35 km toka Kibada
-Vipo karibu kabisa na bahari
-Viwanja vinaanzia SQM 400 na kuendelea
Bei ya square meter 1 ni Tshs 35,000 (CASH) tu! na Tsh.40,000 (MKOPO WA MIEZI 12, UTATANGULIZA 50/% YA BEI YA KIWANJA)