-Nyumba ipo karibu na stand ya zamani ya ya mabasi ya muhimbili na Akiba commercial Bank
-Nyumba ina vyumba 4 vikubwa ambapo kimoja mastaerbedroom
-Kina parking ya kutosha gari mbili
-Nyumba haiko mbali sana na barabara
-Umeme na maji vinapatikana
-Malipo mi mieiz 6 hadi mwaka.
-Nyumba inafaa kwa matumizi ya ofisi kubwa au biashara kubwa