Nyumba inapangishwa,Block T,(Mbeya mjini)Mbeya

Overview

Description

  • Nyumba inapangishwa maeneo ya karibu na Block “T”  Mbeya
  • Nyumba ina dari la gypsum na imejengwa kwa matofali na kuchapiwa pamoja na kupigwa rangi kote ndani na nje
  • Inamadirisha ya aluminium yaliyopigwa grill kwa ulizi zaidi
  • Mlango wa mbao iliyopigwa dawa ya kuulia wadudu,pamoja na metal door
  • Sakafu yake ni ya marumaru safi ina geti na parking kubwa

Address

Contact Information

View Listings
Patrick Magesa
  • Patrick Magesa

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Patrick Magesa
  • Patrick Magesa