-Nyumba ipo km 1 kutoka Bagamoyo road Boko magengeni
-Iko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa sqm 1344
-Kiwanja kimepimwa na ramani inayo ila hati iko njiani kupit urasimishaji
-Nyumba ina vyumba 3,kkmoja masterbedroom
-Maji na umeme vinapatikana
-Nyumba bado ni mpya
-Kuna maongezi katika bei ya kiwanja