Kiwanja chenye pagale la ghorofa moja kinauzwa,Ununio,Tegeta,Dar es salaam

Kiwanja chenye pagale la ghorofa moja kinauzwa,Ununio,Tegeta,Dar es salaam

Overview

Description

-Kiwanja kipo km 1 kutoka barabara ya lami ya Ununio

-Barabara zinazoingia mtaani kuingia katika kiwanja ni nzur, zinapitika hata kipindi cha mvua(nyakati zote)

-Kiwanja ni matumizi ya makazi ( Residential)

-Kiwanja kina pagale la ghorofa moja lenye  vyumba vitano; ambapo viwili sio masterbedrooms na vitatu ni masterbedrooms

-Kiwanja kina uwanja mkubwa wenye nafasi ya kutosha ya kupaki na kufanya shughuli tofautitofauti

-Kiwanja hakina mgogoro wowote ule na kuna hati safi

-Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja

Address

Contact Information

View Listings
Dickson Mgaya
  • Dickson Mgaya

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Dickson Mgaya
  • Dickson Mgaya