Kiwanja kikubwa cha baharini(Beach plot) kinauzwa,Mbezi beach(Bahari beach),Dar es salaam

Overview

Description

Kiwanja kipo Mbezi beach ya chini (Bahari beach) karibu na Ramada Hotel

-Kiwanja ni cha Baharini kabisa

-Kiwanja kina maendeleo kidogo juu ya ardhi

-Kiwanja kinafaa uwekezaji mkubwa kwa ajili ya Hotel au apartments

-Kina hati safi kabisa

-Bei ni USD Laki tisa

-Kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike