-Nyumba hii ipo Boko Chama, karibu na St. Maria Salome Secondary school na National Housing
-Nyumba ipo km 1.5 kutoka Barabara ya Lami ya Bagamoyo road
-Nyumba ina vyumba vinne ambapo viwili na master bedroom
-Kuna sebule mbili kubwa na balconies kubwa katika nyumba
-Nyumba ina parking kubwa ya kutosha
-Umeme na maji vipo
-Kuna gardening nzuri sana
-Kuna mazungumzo katika kodi