NYUMBA INAPANGISHWA KIJICHI , DAR ES SALAAM

NYUMBA INAPANGISHWA KIJICHI , DAR ES SALAAM

Overview

Description

-Nyumba ipo Kijichi Nyande,Dar es salaam

-Nyumba ina vyumba vinne vyote ni self contained, choo na bafu la wageni, sebule, dinning na parking ya kutosha

-Nyumba hii bado ni mpya sana haijawahi kukaliwa na watu

-Ipo km 1 kutoka barabara ya lami ya kijichi

-Nyumba ina  sehemu ya shedi ya kupumzikia kwa nje na garden nzuri

-Umeme na maji vipo

-Unaweza lipa mwezimwezi

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike