–Nyumba ipo mita 500 kutoka barabara ya lami ya mwaikibaki na mita 300 kutoka baharini,mtaa wa bahari
-Kiwanja kina vyumba vitano ambavyo viwili ni masterbedrooms
-choo na bafu la jumuiya vipo
-Nyumba inafaa kwa ofisi na makazi pia
-Maji na umeme vinapatikana 24/7..Ulinzi pia upo mwingi.
-Kuna mazungumzo katika kodi ya nyumba
–Malipo ni kuanzia miezi 6 hadi mwaka