-Nyumba hii ipo Boko Msikitini, Dar es salaam
-Nyumba hii ina vyumba vinane vya kulala
-Nyumba haijaisha vizuri
-Kuna jengo la fremu tatu ambalo pia haljaisha
-Nyaraka zote za umiliki zipo
-Umeme na maji vipo
-Nyumba haipo mbali sana na barabara kama mita mia moja kutoka bagamoyo road
-Kuna mazungumzo katika bei ya nyumba