-Nyumba ipo chanika mjini Dar es salaam
-Nyumba ina vyumba vitatu ambapo kimoja wapo ni masterbedroom.Kuna livingroom,dinning room,Jiko na Choo na bafu la uma.
-kiwanja kina sQM 400
-Nyaraka muhimu za umiliki zipo
-Bado ni mpya na iko kwenye hali nzuri.
-Kuna mazungumzo katika bei ya nyumba
-Nyumba haina fensi