-Nyumba hii ipo videte,chanika mwisho Dar es salaam
-Nyumba ina vyumba vinne,kimoja masterbedroom.Kuna choo na bafu la uma kwa ndani.Kuna nyumba ndogo nyingine ya nje na yenye vyumba viwili na pia kuna jiko,bafu ,stoo na choo cha nje.
-Kuna parking kubwa kwa ajili ya magari.
-Kiwanja kina ukubwa wa ekari moja na nusu.
-Nyumba haina fensi na maji ni ya kuchimba (kisima),Maji ya Dawasco ni ya kuvuta tu.
-Kiwanja kipo karibu na stand mpya ya chanika.
-kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja