NYUMBA INAUZWA IPO GOBA LASTANZA,
NYUMBA YA PILI KUTOKA BARABARA KUBWA YA LAMI,
INA VYUMBA VITANO VYOTE MASTER, JUU VIWILI, CHINI VITATU, UKUMBI, DINNING ROOM, JIKO KUBWA, STOO, PARKING YA KUTOSHA, BAYCOTER KWA UWANI YENYE CHUMBA NA UKUMBI NA CHOO CHAKE,
INA UKUBWA WA SQM 750. DOCUMENT NI HATI YA WIZARANI. BEI ELEKEZI MLN 550 MAONGEZI YAPO.