-Nyumba hii ipo Mwanzo mgumu Somangila ( Chekeni Mwasonga) Kigamboni Dar es salaam
-Nyumba hii ipo kwenye hatua za mwisho za umaliziaji
-Ina vyumba vinne ambapo vitatu ni self contained
-Nyumba ina eneo kubwa sana na hali ya hewa nzuri
-Hati miliki safi ipo
-Haiko mbali sana na barabara
-Kuna maelewano katika bei ya nyumba