Nyumba inauzwa Miwaleni, Bunju A, Dar es salaam

Nyumba inauzwa Miwaleni, Bunju A, Dar es salaam

Overview

Description

-Nyumba ipo mtaa wa Miwaleni, Bunju A, Dar es salaam

-Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja ni mastaerbedroom

-Nyumba ina fensi na geti zuri sana

-Nyumba ina nafasi ya kutosha ya parking

-Kuna choo na bafu la nje, SIM tank na mabanda ya kufugia kuku

-Kuna gardening na landscapig imefanyika

-Barabara ya kuelekea kwenye nyumba inafikika

-Nyaraka zote muhimu za umiliki zipo

-Mazungumzo yapo katika bei ya kiwanja

 

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike