NYUMBA KALI MNO YA FAMILIA KUBWA IPO KIMARA SUKA UMBALI KUTOKA LAMI DK 3 TU NDANI YA FENSI PARKING KUBWA YA KUTOSHA ,
NYUMBA INAVYUMBA VITATU SEBULE CHUMBA KIMOJA NI MASTER NA JIKO LA MAKABATI YA CHINI (UKUTA) PIA NYUMBA INA PUBLIC TOILET YA NDANI DINING SPACE INAJITEGEMEA KWA KILA MAJI NA UMEME UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KODI 350,000 kwa Miezi 6