NYUMBA NZURI INAPANGISHWA BUNJU B MABWEPANDE(KARIBU NA MRADI WA NYUMBA WA TBA) DAR ES SALAAM

NYUMBA NZURI INAPANGISHWA BUNJU B MABWEPANDE(KARIBU NA MRADI WA NYUMBA WA TBA) DAR ES SALAAM

Overview

Description

-Nyumba ipo 3 km kutoka barabara ya lami (Bagamoyo road) kituo cha Bunju B
-Njia ya kuiendea iko vizuri,Barabara ya lami itapita hivi karibuni
-Nyumba ina vyumba 3(Kimoja masta),sebule,jiko,Dinning,Public toilet na Store
-Vyumba iko maeneo tulivu yenye hali ya hewa nzuri
-Maji na umeme vinapatikana
-Kuna mazungumzo kidogo kwenye kodi

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike