Kiwanja kinauzwa Bunju B njia ya Mabwepande,Dar es salaam
Overview
Description
-Kiwanja kipo barabarani haswa ya Mabwepande,3 km kutoka Bagamoyo road -Kiwanja ni kizuri kwa ajili ya makazi na biashara -Kiwanja kipo tambarare na mazingira tulivu -kiwanja kina kimepimwa na kina hati safi