-Nyumba inafaa kwa matumizi ya ofisi za makampuni au taasisi
-Ina nyumba kubwa yenye vyumba 3 na sebule
-Ina vyumba vya nje vinavyoweza kutumika kama ofisi
-Ina jiko na vyoo vya nje vitatu
-Ina makontena 6 yanyoweza kutumika kama ofisi pia
-Ina conference hall iliyojengwa kwa nje kama nyumba inayojitegemea
-Maji na umeme vinapatikana pamoja na standby generator
-Kuna parking kubwa ya kutosha