-Fremu hizi zipo katika jengo linaitwa BOKO SHOPPING CENTER,instagram account @boko.shopping.center
-Jengo lipo mita 10 kutoka barabara ya Lami Bagamoyo road,Boko msikitini opposite jengo la DOMI HOUSE
-kuna fremu moja ya ukubwa wa SQM 15 inafaa kwa kuweka biashara au ofisi.Kodi ni Tsh 150,000/=
-Pia zipo nyingine 6 zilizoungana kutengeneza eneo la SQM 132 ambapo unaweza kuweka biashara kubwa.kwa zote 6 kodi ni Tsh 800,000/= (kila moja Tshs 150,000)kwa mwezi.
-Kuna parking ya kutosha kabisa.Umeme na maji vinapatikana.
-Muda wa malipo ni miezi 6 hadi 12