-Kiwanja hiki kipo mita 700 kutoka Ununio/bahari beach road (barabara ya lami) katika barabara ya mwaitenda
-kiwanja hiki ni corner plot (Kiwanja kilichopo katika kona),plot no. 505/1
-Kiwanja kimepimwa na kina hati miliki safi isiyo na migogoro
-Kiwanja kipo mazingira yenye utulivu na yaliyojengekaÂ
-kuna mazungumzo katika bei ya kiwanja hikl