Jengo la kibiashara lenye ghorofa 8 na nusu linauzwa kariakoo,Dar es salaam

Overview

Description

-Jengo liko kariakoo katiakati ya jiji la Dar es salaam
-Jengo liko katika kiwanja chenye ukubwa wa sqm 251
-Jengo lina ghorofa 8 na nusu na fremu 4 kwa eneo la chini
-Ina 15 flats(apartment) ambapo kila moja ina vyumba 3,sitting room,dinning room,jiko na vyoo 2
-Kuna maduka 3 makubwa yaliyopangishwa na moja dogo katika ground floor
-Kuna maongezi katika bei
-Huduma ya lift ipo pamoja na parking ya kutosha kwa eneo la chini ya ghorofa

Address

Contact Information

View Listings
Joshua kwayu
  • Joshua kwayu

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Joshua kwayu
  • Joshua kwayu