-Nyumba ni ya ghorofa moja yenye vyumba 5 ambapo viwili ni masterbedroom na vitatu ni single bedrooms
-Nyumba ina Jiko la kisasa,sebule kubwa,choo na bafu la umma,stoo na servant quarters kwa nje
-Nje kuna parking ya kutosha kabisa ya kupaki magari matatu na zaidi
-Nyumba ina landscaping nzuri kabisa na gardening nzuri
-umeme na maji vinapatikana
-Nyumba iko maeneo tulivu kabisa
-Barabara ya mtaa ya kufikia nyumba ziko vizuri
-Nyumba ina hati safi isiyo na migogoro
-Kuna maongezi katika bei ya kiwanja