-Kiwanja kina ukubwa wa sqm 2000
-kiwanja kipo 1 km kutoka barabara ya lami ya Bagamoyo eneno linaloitwa Dege maji
-Ndani ya kiwanja kuna nyumba kubwa ya kisasa yenye vyumba 3 kimoja masterbedroom,choo na bafu uma,jiko,sebule na dinning room
-Pia kuna banda la kufugia mifugo la vyumba viwili
-Kuna maongezi katika bei ya kiwanja