-Nyumba hii ipo Mita 600 kutoka barabara ya Lami Mwaikibaki Mikocheni B
-Kiwanja kimepimwa na kina hati safi
-Nyumba ina vyumba 4 ambapo kimoja ni masterbedroom.Sitting room,dinning room,kitchen,1 public toilet & bathroom,servant quarters na nafasi kubwa ya kupaki magari zaidi ya matatu
-umeme na maji vinapatikana
-Kiwanja kipo sehemu pamechangamka na panafaa kwa ajili ya biashara
-Kuna mazungumzo katika bei ya nyumba