-Nyumba ipo mtaa wa mazingira karibu na shule kubwa ya Nursery maeneo hayo
-Kiwanja chake ni sqm 600
-Kiwanja hakina hati kina offer letter kimepitishwa urasimishaji na hati inasubiriwa
-kutoka barabarani mpaka kwenye nyumba ni 1.5 km
-Kuna maelewano/mazungumzo katika bei