Viwanja vianuzwa Goba Center (Goba) Dar es salaam

Viwanja vianuzwa Goba Center (Goba) Dar es salaam

Overview

Description

-Viwanja vipo maeneo ya Goba center km 1.5 kutoka barabara ya Lami ya Goba
– Viwanja vipo vinne vimefuatana eneo moja

-Ukubwa tofauti tofauti Ambapo ni SQM 415(Mil 21), SQM 752(Mil 38), SQM 885(Mil 44) na SQM  1356(Mil 68)

-kwa jumla ni SQM 3408 ambapo ni ekari 1 kasoro kidogo

-Viwanja vipo eneo lililo lala kidogo(bonde kidogo) na tambarare kidogo

-Viwanja vipo eneo tulivu lililojengeka.Pia huduma zote muhimu ziko kwa karibu

-Kuna mazungumzo katika bei ya mauzo

Address

Contact Information

View Listings
Emmanuel Njavike

Enquire About This Property

Similar Listings

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To
Emmanuel Njavike
  • Emmanuel Njavike