-Nyumba ni ya ghorofa moja yenye vyumba 2,1 masterbedroom,sebule,jiko,dinning room na choo na bafu shiriki.
-Nyumba ipo 1 km kutoka barabara ya Changanyikeni
-Kuna garage room ya ndani ya kupaki magari
-Kuna pagale lenye ghorofa mbili lenye vyumba 6 vyote self contained
-Kuna choo na bafu la nje.
-Nyumba imezungushiwa ukuta
-Umeme na maji vinapatikana
-Kuna mazungumzo katika bei ya nyumba