-Shamba lina ukubwa wa ekari 7
-Shamba lipo barabara ya kutokea Bagamoyo kuelekea Mlandizi,karibu sana na Lami
-Shamba liko mita 500 kutoka Dawasco ya mlandizi,kama 2 km kutoka Mlandizi polisi na sokoni km 1 Mlandizi primary school
-Kuna makazi ya watu karibuni
-Kila ekari ni Tsh Mil 9 hivyo kwa zote 7 ni Tsh Mil 63
-Karibu