Nyumba nzuri, bora na ya kisasa inauzwa ipo Njia ya Goba, Mbezi masana
# umbali kutoka barabara kuu ni mita 300 tu
# kiwanja kina ukubwa wa sqm1500 na kina hati safi
# Nyumba ina vyumba vi 5, Vyumba vinne ni self container
# Bei elekezi ni milioni 450 maongezi yapo
# KARIBU, UWAHI NA UISHI nyumba ya ndoto zako