Nyumba hii Ina uzwa ipo kunduchi beach 🏖️
Ina yumba vitano vyote master
ina sebule 2 juu na chini dining kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Vyumbani full makabati nyumba
Ukubwa wa uwanja una sqm 1200
Bei yake USD dollar laki 470$ maongezi yapo
Nyumba ipo mtaa safi