Viwanja Kigamboni | Beach Plot Kigamboni 2022

Viwanja Kigamboni

Piga Simu: 0757158789

 1. Beach Plots

-Viwanja hivi vipo Kimbiji kwa chale

-Ni viwanja vizuri, vipo kwenye tambalale
Umbali ni 50km toka Ferry na 35 km toka Kibada

Vipo mbali kidogo na bahari

-Viwanja vinaanzia SQM 400 na kuendelea

Bei ya square meter 1 ni Tshs 12,000 (CASH) tu! na Tsh.15,000 (MKOPO WA MIEZI 12, UTATANGULIZA 50/% YA BEI YA KIWANJA)

2. Beach Plots

-Viwanja hivi vipo Kigamboni-Pembamnazi

-Ni viwanja vizuri, vipo kwenye tambalale
Umbali ni 50km toka Ferry na 35 km toka Kibada

-Vipo karibu kabisa na bahari

-Viwanja vinaanzia SQM 400 na kuendelea

Bei ya square meter 1 ni Tshs 35,000 (CASH) tu! na Tsh.40,000 (MKOPO WA MIEZI 12, UTATANGULIZA 50/% YA BEI YA KIWANJA)

3. Viwanja Vya Kawaida

-Viwanja hivi vipo Kigamboni Golani

-Ni viwanja vizuri, vipo kwenye tambalale
Umbali ni 45km toka Ferry na 30 km toka Kibada

-Viwanja vina ukubwa wa  SQM 400

Bei ya viwanja ni Milioni 1.5 Tuu!!

Piga Simu: 0757158789

Piga Simu: 0621750710

Join The Discussion

Compare listings

Compare
Search
Price Range From To